Logo

MASTER_AR_TANZANIA.

Sisi ni wataalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa, ghorofa, na ukarabati kwa viwango vya kimataifa.

MASTER_AR_UJENZI_TZ

UCHIMBAJI WA MASHIMO YA KISASA YA CHOO YASIYOJAA! 🚽

Huduma Maalum

Tunachimba mashimo ya kisasa, salama na yanayodumu kwa muda mrefu bila kujaa!

📌 GHARAMA ZETU

✅ Shimo 1 la tofali (DSM): Tsh 950,000

✅ Mashimo 2 ya tofali na mawe (DSM): Tsh 1,350,000

✅ Shimo 1 la tofali (Mikoani): Tsh 1,200,000

✅ Mashimo 2 ya tofali na mawe (Mikoani): Tsh 1,500,000


📦 Huduma zote ni Full Package – hatuchukui chochote kutoka kwa mteja!

🚛 TUNAFIKA HADI MIKOANI!


📞 Piga Simu Sasa

📲 0710831720 / 0747139791

MASTER_AR_UJENZI_TZ – Utaalamu, Ubora na Uaminifu!

Kuhusu Sisi & Historia

Historia Fupi

Kampuni yetu ilianza mwaka 2010 ikiwa na fundi mmoja na msaidizi. Leo hii, tumekua na kuwa kampuni inayoongoza nchini kwa kutumia teknolojia ya kisasa na vifaa bora. pia kampuni yetu ya


Tunaamini katika asilimia 60 ya ubora wa kijani (mazingira), uaminifu na kasi ya ajabu katika kukamilisha miradi yetu.

Construction

Huduma Zetu

Ujenzi wa Nyumba

Tunajenga nyumba za kuishi za kila aina kuanzia msingi hadi kukabidhi funguo mkononi mwako.

Ghorofa za Kisasa

Wataalamu wetu wana uzoefu wa kujenga majengo marefu kwa kuzingatia usalama wa hali ya juu.

Ukarabati (Renovations)

Tunabadilisha nyumba yako ya zamani kuwa mpya kwa gharama nafuu na muonekano wa kisasa.

Rangi & Nakshi

Tunapaka rangi za kisasa na kuweka 'gypsum' zenye nakshi za kuvutia macho.

Uchoraji Ramani

Tunachora ramani za 3D zinazokupa picha kamili ya nyumba yako kabla hata ujenzi kuanza.

Ushauri wa Kitaalamu

Unataka kuanza ujenzi? Tunakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu vifaa na makadirio ya gharama. Pia upimaji wa ardhi na misingi.

Tuandikie Ujumbe